ensw

Vijana Wakatoliki Wafanyakazi (VIWAWA) ni chama cha kitume cha vijana wa Parokia yetu. Vijana wapo hai na mara kwa mara hukutana kwa ajili ya mafundisho mbali mbali ya imani.